Toleo la Kiswahili la wavuti huu halijakamilika. Tafadhali rudi baadaye au wasiliana na.

Teleclass Education Africa inatoa mafunzo kuhusu mada za kuzuia na kudhibiti maambukizo kwa kuangazia hasa mahitaji ya vituo vya huduma za afya vya Afrika. Kila funzo linafafanua somo kwa maelezo ya hatua kwa hatua, na kuna jaribio la hiari mwishoni mwa funzo lile. Kila mada yanapatikana katika lugha 5 maarufu za Afrika. Iwapo huwezi kufikia mafunzo ya mtandaoni, tafadhali wasiliana nasi ili tukupe nafasi kwa njia nyingine.

Infection prevention and control